Bensoul – Kautamu Flani Lyrics

Contentment Blog
Contentment Blog

Bensoul Kautamu Flani Lyrics (feat. Vijana Barubaru)

(Nimeguzwa mahali)
Mahali
(Na kautamu flani)
Kautamu flani
Papa soul, vijana barubaru

Ukinipanda
Hauwezi shuka
Shuka
Hii kitu hauwezi ruka
Ruka
Kutoka haiwezekani
Honey
Kwangu ni kwako ndani

Ata ufungwe shuka
Shuka
Wakushuke matuta
Nakuonea mbali (mbali)
Mimi ndio mwenye mali

Nataka tabibu
Anitibu
Juu mwalimu
Hana jibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time your body and soul

Ona majaribu (majaribu)
Ya usiku
Unainama
Sina nguvu
Mwenzako sina hali hali hali
Usiende mbali mbali

Nimeguzwa mahali
‎na kautamu flani
‎na kama ni wewe
‎ongeza mpaka nilewe

‎Utulivu wa bahari
‎Kautamu flani
‎Na kama ni wewe
‎Ongeza mpaka nilewe

Nilewe ye
Nilewe
Nilewe ye
Nilewe
Nilewe ye
Nilewe nilewe
Nilewe ye
Nilewe

Zangu zikishuka nakuita unalift my mood
Umenitepa na umekwama kwangu
Nikiwa mavitu nipe vitu zangu
Zangu haziezi shuka,
You complete upumbavu wangu
Mama mia tumia mamia zangu
What sight I gat my eyes (on you, on you)

‎I close my eyes now, akilini nawaza
‎Furaha ntaipata vipi, meza yangu inahitaji viti
‎I speak my heart, nimekosewa na my human pride
‎Na nimeona vile love is blind, I pray to god nisimiss my sign,
‎When love comes my way

‎Nataka tabibu
Anitibu
Juu mwalimu
Hana jibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time your body and soul

Ona majaribu
Ya usiku
Unainama
Nasimama
Mwenzako sina hali
Usiende mbali

Nimeguzwa mahali
‎Na kautamu flani
‎Na kama ni wewe
‎Ongeza mpaka nilewe

‎Utulivu wa bahari
‎Kautamu flani
‎Na kama ni wewe
‎Ongeza mpaka nilewe

Nilewe ye
Nilewe nilewe
Nilewe ye
Nilewe
Nimeguzwa mahali
‎Utulivu wa bahari
‎Kautamu flani