Marioo – HA HA HA Lyrics

Marioo HA HA HA Lyrics

Nacheka kwa dharau
Nawapandisha nawashusha kama
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha nawashusha kama, ha-ha-ha

Mjini akili nguvu nenda shamba ukalime
Uone wenzako wajanja, akina stepa montana
Silaha pesa mambo visumishu utarini
Watu wanasusha magorimee

Kamanda usinipeleke ntakupa bukutan
Seke seke lote kwa tafutan
Kete kete tulikuwa mtu tano
Sa mbona naisha wenyewee

Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaumee mwanaume (Furusi)
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaumee mwanaume

Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha nawashusha kama, ha-ha-ha
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha nawashusha kama, ha-ha-ha

Yeye akimwaga mboga mwaga ugali (Bado poa)
Mkikucheat mlipizia (Bado poa)
Mkileta mbwai leta mbwai (Bado poa)
Kwani vipi, kwani vipi, mambo poa

Wee hukui
Mpaka leo bado nalilia mapenzi
Eeh makuzini
Michezo, michezo, michezo hiyoo

Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaumee mwanaume (Furusi)
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaumee mwanaume

Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha nawashusha kama, ha-ha-ha
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha nawashusha kama, ha-ha-ha